Viongozi Wa Muungano Wa One Kenya Alliance Wameshilia Kwamba Muungano Wao Ungali Dhabiti Na Kuwa Hivi Karibuni Watamtaja Mgombea Wao.Kinara Wa Chama Cha ANC Musalia Mudavadi,Mwenzake Wa Chama Cha Jibebe William Kabogo Na Viongozi Wengine Vilevile Wametupila Mbali Dhana Kuwa Uchaguzi Mkuu Ujao Ni Wa Farasi Wawili Pekee Kwani Wanayo Matumaini Makubwa Ya Kumrithi Rais Uhuru Kenyatta. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Alihudhuria Hafla Ya Kanisa Na Kukuandalia Taarifa Ifuatayo