Tahadhari Imetolewa Na Nchi Za Kigeni Kuhusu Mashambulizi Ya Kigaidi

EbruTVKENYA 2022-01-28

Views 75

Vitengo Vya Kiusalama Vimeimarisha Usalama Nchini Kufuatia Taarifa Za Hivi Punde Kutoka Ubalozi Za Ughaibuni Zilizoko Humu Nchini. Balozi Za Uholanzi, Ujerumani Na Ufaransa Zimetoa Onyo Kwa Wakenya Na Wananchi Wa Nchi Hizo Huku Tahadhari Ya Hivi Punde Ikitolewa Nan Chi Ya Marekani. Kitengo Cha Usalama Nchini Kimesema Kimeimarisha Usalama Wan Chi Huku Wakenya Wakiombwa Kutumia Nambari Za Dharura Za 999, 911 Na 112.

Share This Video


Download

  
Report form