Ndugu Wawili Wanauguza Majeraha Baada Ya Mgogoro Wa Ardhi.

EbruTVKENYA 2022-01-28

Views 2

Mandugu Wawili Kutoka Kaunti Ya Bungoma, Wamebaki Wakiuguza Majeraha Mabaya Baada Ya Mgogoro Wa Ardhi Kuzuka. Kwa Mujibu Wa Mmoja Wa Ndugu Waliojeruhiwa, Mama Wa Kambo Aliuza Ardhi Hiyo Na Kumwacha Mwanawe Wa Kambo Bila Makao.

Share This Video


Download

  
Report form