Wazee Wa Kaya Kutoka Jamii Ya Mijikenda Wamewasilisha Ombi Kwa Idara Ya Mahakama Kuangazia Kesi Za Ardhi Eneo La Pwani Ili Kukomboa Mioyo Yao. Aidha Wameitaka Mahakama Ya Ardhi Na Mazingira Kuharakisha Kusikizwa Kwa Kesi Hizo Walizosema Zinachangia Pakubwa Kuuwawa Kwao Kwa Visingizio Vya Kuwa Wachawi.