Azimio Matatani? Wabunge Wa Nyanza Wakutana Na Rais Ikulu

EbruTVKENYA 2023-02-07

Views 0

Katika Kile Kinachojitokeza Kama Karata Za Kisiasa Kukabili Hatua Za Muungano Wa Azimio One Kenya, Rais William Ruto Ameshiriki Kikao Na Wabunge Kutoka Eneo La Nyanza. Wabunge Hao 9 Walikongamana Na Rais Na Naibu Wake Rigathi Gachagua Katika Ikulu Ya Kitaifa Jijini Nairobi. Aidha Taarifa Ya Chama Cha ODM Kudai Kutofahamu Kuwepo Kwa Mkutano Huo Kunaibua Swala La Uwezekano Wa Mpasuko Katika Mrengo Wa Azimio.

Share This Video


Download

  
Report form