Rais Ruto Atoa Onyo Kwa Wezi Wa Mifugo

EbruTVKENYA 2023-03-10

Views 1

Rais William Ruto Ametoa Onyo Kwa Majambazi Ambao Wamekuwa Wakiwashambulia Watu Na Kuiba Mifugo Eneo La North Rift. Ruto Ambaye Hii Leo Amehudhuria Kufuzu Kwa Maafisa Wa Cardet Eneo La Lanet Kaunti Ya Nakuru Ameelekeza Vikosi Vya Usalama Kushirikiana Na Wizara Ya Elimu Kukarabati Shule Ambazo Ziliharibwa Wakati Wa Mashambulizi Na Kuhakikisha Shughuli Ya Masomo Inarejea.

Share This Video


Download

  
Report form