Serikali Ya Kaunti Ya Elgeyo Marakwet Yaanza Ukaguzi Wa Wafanyikazi

EbruTVKENYA 2023-03-13

Views 2

Gavanna Wa Elgeyo Marakwet Wisley Rotich Ameanzisha Ukaguzi Wa Wafanyikazi Wa Kaunti Hiyo Ili Kuwaondoa Wafanyikazi Hewa. Haya Yanajiri Siku Kadhaa Baada Ya Kamati Ya Fedha Ya Baraza La Magavana Kusema Kuwa Itakagua Gharama Za Serikali Za Kaunti Kabla Ya Kuidhinisha Malipo Yake. Mbali Na Madeni, Serikali Hizo Pia Zimeandamwa Na Kero La Wafanyikazi Hewa.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS