Simba imeicharaza Mbao FC jumla ya mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo katika dimba la Taifa Dar es Salaam.
Magoli yote a Simba katika mchezo wa leo, haya hapa, wafungaji wakiwa ni Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi mabao mawili, Nicholas Gyan na Erasto Nyoni.