"Nilipata shida kumueleza Mama kuwa Monica katutoka." Rais Magufuli

Trend Video en 2018-08-23

Views 1

Siku ya jana rais Mhe. Dkt. John Magufuli aliwaongoza waombolezaji waliofika katika msiba wa Dada yake (Monica Magufuli) Chato, ambaye alifariki tarehe 19/8/2018 katika hospitali ya Bugando-Mwanza......tazama hapa

Share This Video


Download

  
Report form