Jopo La Uteuzi La Makamishna Wa IEBC Laapishwa

EbruTVKENYA 2021-04-28

Views 41

Jopo La Watu Sita Kati Ya Saba Walioteuliwa Kuendesha Mchakato Wa Kuwateua Makamishna Wa Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Wamekula Kiapo Kuanza Kazi Kirasmi. Jopo Hilo Saa Chache Baada Ya Kuapishwa Wameanza Kuweka Mikakati Ya Kuwapata Makamishna Wanne Watakaojaza Pengo La Makamishna Waliojiuzulu Miaka Mitatu Iliyopita. Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti, Mvutano Katika Chama Cha Mawakili Nchini Lsk Huenda Ukawanyima Fursa Kushiriki Katika Mchakato Huo Baada Ya Mahakama Kusimamisha Kwa Mda Uapisho Wa Dorothy Jemator Hadi Pale Kesi Dhidi Yake Itakaposikizwa Na Kuamuliwa

Share This Video


Download

  
Report form