Kamati Yafunga Kusikiliza Upande Wa Makamishena Wanne Wa IEBC

EbruTVKENYA 2022-11-29

Views 8

Kamati Ya Sheria Iliyotwikwa Jukumu La Kuchunguza Tabia Na Maadili Ya Makamishena Wanne Wa Iebc Imefikia Mwisho Huku Kamati Ikifunga Uchunguzi Wake Baada Ya Wawakilishi Wa Makamishena Waliotarajiwa Kujitetea Wakiomba Wakati Ili Kujiandaa Kikamilifu. Sasa Kamati Hio Ina Siku Tatu Kutayarisha Ripoti Kamili Itakayowasilishwa Bungeni Kujadiliwa. Odee Francis Alikuwepo Majengo Ya Bunge Na Ana Ripoti Kamili.

Share This Video


Download

  
Report form