Huku Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Ethiopia Jumatatu Ukitajwa Kama Mtihani Mkubwa Kwa Waziri Mkuu Wa Nchi Hiyo Abiy Ahmed, Wananchi Wamejitokeza Kupiga Kura Na Kutoa Maoni Yao. Haya Yanajiri Huku Mchakato Wa Kuhesabu Kura Za Uchaguzi Wa Bunge Na Serikali Za Mitaa Ukiendelea Nchini Humo Huku Vyombo Vya Usalama Vikisema Umefanyika Kwa Amani Na Usalama, Vikitupilia Mbali Malalamiko Machache Ya Hapa Na Pale.