Wadau Wa Shule Za Kibinafsi Walalalama Idadi Ya Wanafunzi Kupungua

EbruTVKENYA 2021-07-08

Views 1

Washikadau Katika Sekta Ya Elimu Wamelalama Kuwa Idadi Ya Wanafunzi Wanaojiunga Na Shule Za Kibinafsi Ni Wachache Kutokana Na Athari Za Janga La Virusi Vya Corona. Mkurugenzi Mmoja Wa Shule Binafsi Kutoka Kaunti Ya Malindi Amir Ahmed Amesema Siku Za Usoni Huenda Kukawa Na Utata Zaidi Katika Sekta Ya Elimu. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Wazazi Wengi Wamependekeza Kuwapeleka Watoto Wao Shule Za Umma Kutokana Na Gharama Ya Corona.

Share This Video


Download

  
Report form