David Murathe Adai Uchaguzi Wa Kiambaa Ulikumbwa Na Wizi Wa Kura

EbruTVKENYA 2021-07-19

Views 1

Chama Cha Jubilee Sasa Kinadai Kuwa Uchaguzi Mdogo Wa Kiambaa Ulikumbwa Na Wizi Wa Kura Hasa Kutoka Kwa Wapinzani Wao Wa Uda. Uongozi Wa Chama Ukiongozwa Na Naibu Mwenyekiti David Murathe Na Katibu Mkuu Raphael Tuju Wameilaumu Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Iebc Kudinda Kuhesabu Kura Upya Hata Baada Ya Kugundua Makosa Katika Baadhi Ya Masanduku Ya Kura Kutoka Kwa Baadhi Ya Vituo Vya Kupigia Kura. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Ameifuatilia Taarifa Hiyo Kiundani Na Kukuandalia Taarifa Ifuatayo

Share This Video


Download

  
Report form