Wakuu Wa Chama Cha KNUT Wabishana Kuhusu Uchaguzi Wa Jumamosi

EbruTVKENYA 2021-06-22

Views 6

Baadhi Ya Wanachama Wa Chama Cha Walimu Nchini Wanamtaka Katibu Mkuu Wa Chama Hicho Wilson Sossion Kukoma Kuingilia Uchaguzi Wa Chama Hicho Ambao Utafanyika Mwishoni Mwa Wiki Hii.Kwa Mujibu Kaimu Mwenyekiti Wa Muungano Collins Oyoo, Sossion Anashirikiana Na Wizara Ya Afya Kuweka Vikwazo Kuhusu Uchaguzi Huo. Wamedai Sossion Aliandikia Wizara Hiyo Barua Akitaka Kuahirishwa Kwa Uchaguzi Kutokana Na Mikakati Ya Kukabili Kuenea Kwa Ugonjwa Wa Virusi Corona Kinyume Na Matakwa Muungano Huo.

Share This Video


Download

  
Report form