Polisi Mjini Nakuru Wanawazuilia Watu Wawili Wanaohusishwa Na Genge La Wizi Wa Magari Mjini Humo. Naibu Kamanda Wa Polisi Kata Ndogo Ya Nakuru Mashariki Phanton Analo, Anasema Walinasa Wawili Hao Baada Ya Kupata Taarifa Kutoka Kwa Wananchi. Kwengineko Mama Mmoja Ameaga Dunia Na Mhudumu Wa Boda Boda Anauguza Majeraha Baada Ya Kuhusika Na Ajali Katika Bara Bara Kuu Ya Nakuru - Nairobi. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…………….