Maafisa Wa Polisi Wawakamata Washukiwa Wanne Na Bidhaa Bandia Mwiki

EbruTVKENYA 2021-09-26

Views 21

Maafisa Wa Polisi Wamewakamata Washukiwa Wanne Eneo La Mwiki Kwa Kuuza Bidhaa Gushi Za Mafuta Ya Gari.Wanne Hawa Wamezuiliwa Katika Kituo Cha Polisi Cha Kasarani Wakisubiriwa Kufikishwa Mahakamani Jumatatu.

Share This Video


Download

  
Report form