Wakazi Wa Kitui Waaomba Msaada Wa Chakula

EbruTVKENYA 2021-08-31

Views 3

Wakaazi Wa Eneo La Kyuso Lililoko Kaunti Ya Kitui Wanaiomba Serikali Na Wasamaria Wema Wawasaidie Na Msaada Wa Chakula Kama Njia Ya Kukabiliana Na Baa La Njaa. Wakaazi Hao Wamesema Kuwa Kumekuwa Na Uhaba Wa Chakula Eneo Lao Kutokana Na Ukame Ambao Umekuwepo Kwa Majira Mawili Sasa.

Share This Video


Download

  
Report form