Wanafunzi Wanaendelea Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza

EbruTVKENYA 2021-09-04

Views 1

Maafisa Wa Elimu Pamoja Na Wa Usalama Wapo Mbioni Kaunti Ya Nakuru Kuhakikisha Kila Mtahiniwa Wa Kcpe Amejiunga Na Shule Ya Upili Kabla Ya Kalenda Mpya Ya Masomo Kutamatika Mwaka Ujao. Kulingana Na Naibu Kamishna Wa Nakuru Jared Ratemo Wanafunzi Wachache Ndio Wamesalia Kuhakikisha Wizara Ya Elimu Imeafikia Asilimia 100 Ya Wanafunzi Kujiunga Na Shule Ya Upili Katika Kaunti Hiyo.

Share This Video


Download

  
Report form