Rais Uhuru Kenyatta Ametangaza Baa La Njaa Linalokumba Baadhi Ya Maeneo Nchini Kuwa Janga La Kitaifa. Hatua Hii Imechukuliwa Baada Ya Rais Kufanya Kikao Na Viongozi Kutoka Maeneo Kame. Rais Ameziamuru Wizara Za Fedha Na Usalama Kuzinsaka Na Kusaidia Famila Zinazopepetwa Na Madhila Ya Janga Hilo.