Wakaazi Waibua Wasiwasi Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Kupotezwa Mombasa

EbruTVKENYA 2021-09-12

Views 6

Viongozi Katika Kaunti Ya Mombasa Wameapa Kuwasilisha Ombi Bungeni La Kuwataka Wakuu Katika Idara Ya Usalama Wakiongozwa Na Waziri Fred Matiang'i, Inspecta Generali Hillary Mutyambai Na Mkuu Wa Dci George Kinoti Ili Kutoa Mwanga Kuhusu Kukabiliana Na Visa Vya Watu Kupotezwa Kwa Njia Tatanishi. Viongozi Hao Wakiongozwa Na Mbunge Wa Mvita Abdulswamad Nassir, Wanawataka Tatu Hao Pia Kutatua Swala La Kupotea Kwa Mfanyibiashara Abdiwahab Sheikh Abdusamad Na Uchunguzi Wa Miili 11 Iliyopatikana Na Alama Za Kuteswa Huko Tana River. Haya Yanajiri Huku Idara Ya Upelezi Ikianzisha Uchunguzi Wa Kutekwa Nyara Kwa Mfanyibiashara Huyo.

Share This Video


Download

  
Report form