Janga La Kibinadamu Lanukia Kufuatia Kufurushwa Kwa Wakaazi

EbruTVKENYA 2021-04-28

Views 1

Baadhi Ya Wakazi Wa Mwingi Watalazimika Kulala Kwenye Kijibaridi Baada Ya Kufurushwa Makwao Na Mamlaka Ya Ustawi Na Maendeleo Ya Mto Tana Na Athi. Janga La Kibinadamu Linanukia Ikizingatiwa Kuwa Takriban Familia 600 Hazina Makao Na Mahitaji Muhimu Ya Kimsingi Kama Vile Chakula, Malazi Na Dawa Au Huduma Za Afya.

Share This Video


Download

  
Report form