Iebc: Kususia Uchaguzi, Ukame Na Ukosefu Usalama Baadhi Ya Changamoto

EbruTVKENYA 2021-10-11

Views 1

Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc Hii Leo Imeweka Bayana Zoezi La Kuwasajili Wapiga Kura Millioni Sita Kwa Mara Ya Kwanza. Mwenyekiti Wa Tume Hiyo Wafula Chebukati Ameshikilia Kuwa Ukame Pamoja Na Ukosefu Wa Usalama Ndio Zimechangia Idadi Ndogo Ya Wakenya Kujisajili Na Tume Hiyo Kabla Ya Uchaguzi Wa Mwaka 2022. Na Kama Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Anavyotueleza Wachanganuzi Wa Maswala Ya Kisiasa Wanalaumu Tume Ya Iebc.

Share This Video


Download

  
Report form