Mamia Ya Wakaazi Katika Eneo La Mabanda La Mukuru Kwa Njenga Kaunti Ya Nairobi Wameachwa Bila Makao Kufuatia Shuhuli Ya Ubomozi Katika Eneo Hilo.Bomoa Bomoa Hiyo Ikifanywa Chini Ya Uangalizi Wa Polisi Na Halmashauri Ya Nms . Haya Yanajiri Huku Wakaazi Hao Wakilawama Kuwa Ubomozi Huo Ulifanyika Pasi Na Notisi Yeyote…