Viongozi Wa Kanisa La Anglican Watoa Hisia Mseto Kuhusu Siasa

EbruTVKENYA 2021-10-31

Views 2

Baadhi Ya Viongozi Wa Kidini Wametoa Hisia Mseto Kuhusu Wanasiasa Wanaopigia Debe Ajenda Zao Makanisani. Askofu Mkuu Wa Kanisa La Redeemed Gospel Arthur Kitonga Amekashifu Tendo Hilo Huku Mtume Askofu Nelson Kinoti Akikaribisha Wazo Hilo Akidai Kuwa Kinisa Lina Mujibu Wa Kuhakikisha Viongozi Wamepewa Nafasi Ya Kunena Na Wananchi Hata Ikiwemo Kansani.

Share This Video


Download

  
Report form