Elungata Na Viongozi Wa Lamu Wawekana Mizani Kuhusu Ardhi

EbruTVKENYA 2021-11-27

Views 2

Swala La Uskwota Kaunit Ya Lamu Linaendelea Kuwa Kero Kubwa Huku Ikibainika Kuwa Kuna Baadhi Ya Maskwota Wanaohofia Kufurushwa Makwao. Hili Limejiri Baada Ya Kamishena Wa Ukanda Wa Pwani John Elunganta Kutofautiana Hadharani Na Baadhi Ya Vinogozi Wa Lamu Kuhusu Kipande Cha Ardhi Kinachong'ang'aniwa Eneo Hilo.

Share This Video


Download

  
Report form