Naibu Wa Rais William Ruto Hii Anasema Kuwa Taifa Halitarejea Tena Katika Nyakati Za Giza Wakati Kampeni Za Urais 2022 Zinashika Kasi.Kulingana Na Ruto Ambaye Alipiga Kambi Hii Leo Kaunti Ya Nakuru,Wapinzani Wake Wamekuwa Wakiwachochea Wakaazi Wa Bonde La Ufa Kutomuunga Mkono