Ruto Asuta Wapinzani Wake Akiwa Makueni

EbruTVKENYA 2021-12-09

Views 13

Naibu Rais William Ruto Amepeleka Kampeni Zake Kaunti Ya Makueni Alikorai Wakaazi Kumuunga Mkono Katika Uchaguzi Wa Mwaka Ujao. Ruto Amekosoa Wapinzani Wake Akisema Kuwa Hawana Mpango Wa Kuliokoa Taifa.

Share This Video


Download

  
Report form