Polisi Mmoja Wa Cheo Cha Constable Anayehudumu Katika Kituo Cha Polisi Cha Kabete, Amewaua Kwa Kuwapiga Risasi Watu Watano Akiwemo Mke Wake, Kabla Ya Kujiua Kwa Kujipiga Risasi. Afisa Huyo Alitambuliwa Kama Benson Imbatu, Na Anaishi Katika Nyumba Za J Heights Karibu Na Soko La N Huko Dagoreti. Jirani Wa Afisa Huo Purity Cheruiyot, Aliripoti Kuwa Alisikia Mlipuko Mkubwa Kabla Ya Moto Kushuhudiwa Katika Nyumba Ya Afisi Huyo Na Mkewe Kwa Jina Carol.