Wanjiru Alisukumwa Saudia Na Mwajiri Wake Kutoka Ghorofa Ya Pili

EbruTVKENYA 2021-12-07

Views 12

Huku Gharama Ya Juu Ya Maisha Ikizidi Kuwa Mwiba Kwa Wengi.Wakenya Wengi Wameishia Kusafiri Na Hata Kufanya Kazi Katika Mataifa Ya Uarabuni.Mary Wanjiru Mwenye Umri Wa Miaka 32 Alipopata Nafasi Ya Kusafiri Saudi Arabia,Alijua Kwamba Mwanga Wa Maisha Mzuri Ulikuwa Umeanza Kuangaza,Ila Alipofika Kule Mambo Yakabadilika,Uamuzi Ambao Anajutia Kuufanya Hadi Wa Leo.

Share This Video


Download

  
Report form