Wakfu Wa Mount Kenya Foundation Waridhia Na Raila

EbruTVKENYA 2021-12-08

Views 14

Kinara Wa ODM Raila Odinga Ameidhinishwa Na Wakfu Wa Mount Kenya Foundation Kama Mgombea Wa Urais Watakayemuunga Mkono. Katika Mkutano Hapa Jijini Nairobi, Uongozi Wa Wakfu Huo Unasema Kuwa Walitumia Vigezo Vya Hali Ya Juu Ili Kubaini Mgombea Watakayemuunga Mkono.

Share This Video


Download

  
Report form