Kinara Wa Odm Raila Odinga Kwa Mara Nyingine Ameufokea Uamuzi Wa Mahakama Ya Rufaa Wa Kuitupilia Mbali Bbi Akisema Kuwa Lengo Lake Ni Kudumisha Amani Na Umoja Nchini.Raila Akihudhuria Ibada Ya Kanisa Kaunti Ya Murang'a Aliitetea Bbi, Akisema Kuwawale Wanaoupinga Mpango Wa Kurekebisha Katiba Kupitia Bbi Wanazuia Maridhiano Na Amani Nchini. Haya Yanajiri Siku Chache Baada Ya Aliyekuwa Waziri Mkuu Kutangaza Kuwa Anaheshimu Uamuzi Wa Mahakama Dhidi Ya Bbi.