Naibu Rais William Ruto Amepiga Kambi Kaunti Ya Nairobi

EbruTVKENYA 2022-01-14

Views 54

Usalama Umeimarisha Jijini Nairobi Huku Naibu Wa Rais Akiendelea Na Kampeni Yake Eneo La Roysambu. Ruto Anatarajiwa Kuzuru Maeneo Ya Santon, Mwiki Na Njiru Ili Kuwachumbia Wapiga Kura Kumuunga Mkono Katika Uchaguzi Mkuu Agosti 9 Mwaka Huu.

Share This Video


Download

  
Report form