Naibu Rais Ameendeleza Kampeni Zake Mlima Kenya Kaunti Ya Muranga

EbruTVKENYA 2021-11-14

Views 22

Naibu Wa Rais William Ruto Na Wendani Wake Wamemponda Kinara Wa Odm Raila Odinga Kwa Kuwa Sababu Kuu Ya Kushambuliwa Kwake Ruto Katika Kampeni Zake Eneo La Kondele Kaunti Ya Kisumu.Ruto Ambaye Hii Leo Alipiga Kambi Kaunti Ya Murang'a Anasema ,Hili Halitasitisha Azma Yao Ya Kuwamfikia Mwananchi Wa Kawaida

Share This Video


Download

  
Report form