Nairobi Yarekodi Visa 5100 Vya Dhuluma Za Kijinsia

EbruTVKENYA 2022-11-25

Views 37

Huku Mimba Za Mapema Na Visa Vya Maambukizi Ya Ukimwi Kutokana Na Dhuluma Za Kinjinsia Vikizidi Kuongezeka Nchini ,Washikadau Sasa Wanahoji Kuwa Mikakati Isipowekwa Kupambambana Na Hali Hii,Huenda Wakenya Zaidi Wakaathirika Nchini.Kaunti Ya Nairobi Imenakili Visa 5100 Vya Wanawake Na Wasichana Kudhulumiwa Kingono.

Share This Video


Download

  
Report form