Kupitia Ruzuku Ya Dola Milioni 5.2 Kutoka Kwa Serikali Ya Uswizi, Wizara Ya Afya Kwa Ushirikiano Na Shirika La Chakula Na Kilimo La Umoja Wa Kimataifa, Zitashirikiana Kuimarisha Sajili Ya Wakulima Nchini. Mradi Huo Unanuia Kuorodhesha Taarifa Za Wakulima Kando Na Habari Za Vifaa Vya Ukulima Na Soko La Mazao Katika Ari Ya Kuhakikisha Mkulima Ananufaika Zaidi Na Kilimo.