Huku Shule Zikiendelea Kuwasijali Wanafunzi Waliochelewa Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza Sababu Ya Mambo Kama Vile Ukosefu Karo. Wanafunzi Wametahadharishwa Dhidi Ya Kujiingiza Katika Anasa Kama Vile Utumizi Wa Dawa Za Kulevya. Akizungumza Katika Hafla Ya Kuwapa Ufadhili Wa Masomo Kwa Wanafunzi Wasiojiweza, Mkurugenzi Wa Elimu Kiambu Moris Sifuna Amewahimiza Wanafunzi Kutia Bidii Na Kujiepusha Na Mambo Yasiofaa Wakiwa Shuleni.