Baadhi Wa Wanafunzi Waliofanya Vyema Kcpe Eldoret Wakosa Karo

EbruTVKENYA 2021-08-08

Views 1

Huku Wanafunzi Waliofanya Mtihani Wa Kitaifa Wa Kcpe Wanapoendelea Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza Katika Shule Mbalimbali, Zaidi Ya Watoto Watano Kutoka Familia Za Kurandaranda Mitaani Mjini Eldoret Wametoa Wito Kwa Wahisani Kuwasaidia Ili Waweze Kujiunga Na Shule Walizoitwa Baada Ya Kukosa Karo Na Fedha Za Matumizi. Winnie Lubembe Na Taarifa Hiyo.

Share This Video


Download

  
Report form