Rais MAGUFULI amewataka Watanzania kutokubali kutumiwa katika vitendo vya uvunjifu wa amani ambavyo vinaweza kusababisha machafuko kama yaliyotokea kwa nchi jirani na nyingine duniani, na ameonya kuwa vyombo vya dola havitawavumilia watakaothubutu kuvunja sheria na kuleta vurugu.