Mahojiano Ya Jaji Mkuu Kuanza Hapo Kesho

EbruTVKENYA 2021-04-11

Views 0

Zoezi La Kuwahoji Watu 10 Waliotuma Maombi Ya Kujaza Pengo La Jaji Mkuu David Maraga Litaanza Hapo Kesho.Msajili Mkuu Wa Mahakama Anne Amadi Amesema Zoezi Hilo Litaendeshwa Na Makamishna Wote Wa Tume Ya Huduma Za Mahakama Jsc Watashiriki Kwenye Mchakato Huo Licha Ya Baadhi Yao Kukabiliwa Na Kesi .Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//

Share This Video


Download

  
Report form