Jaji Mkuu Martha Koome Ametupilia Mbali Madai Ya Kushawishika Katika Ufisadi Na Baadhi Ya Viongozi Wanaohusika Na Chama Cha Naibu Wa Rais William Ruto Cha Uda. Akizungumza Katika Kongamano La Ugatuzi La Sababa Kaunti Ya Makueni Amefutilia Mbali Madai Ya Ufisadi Na Kusema Kamati Hilo Halijatawalwa Na Wanasiasa Ambao Wanaweza Kushawishika. Ameshikilia Msimamo Wake Kuwa Uhuru Wa Mahakama Utazingatiwa.