Rais Azindua “4k Clubs” Shuleni, Vilabu Hivyo Vinakusudia Kuimarisha Sekta Ya Ukulima Nchini

EbruTVKENYA 2021-06-04

Views 16

Rais Uhuru Kenyatta Amezindua Vilabu Vya Mafunzo Katika Shule Za Msingi Maaruf Kama 4k Clubs Hapa Jijini Nairobi Vinavyoangazia Hasa Masuala Ya Kilimo Hapa Nchini.Rais Vilevile Amezindua Pia Programu Ya Vijana Kwa Taifa .

Share This Video


Download

  
Report form