Jumuia Ya Nchi Ya Bara Ulaya Kimeapa Kushirikiana Na Kenya Kuimarisha Uhisiano Mwema Ili Kukwamua Sekta Ya Uchumi Nchini Huku Makali Ya Virusi Vya Corona Vikizidi Kuwakeketa Wafanyabiashara Maini. Rais Uhuru Kenyatta Vile Vile Anapania Kuandaa Kikao Na Serikali Ya Ubelgiji Kuimarisha Uhusiano Mwemwa Baina Ya Nchi Hizo Mbili Na Kunufaisha Uchumi Ya Nchi Jirani Kama Vile Uganda Na Tanzania Kwani Rais Uhuru Ni Mwenyekiti Wa Jumuia Ya Afrika Mashariki. Hata Vivyo Rais, Ambaye Aliambatana Na Makatibu Wa Baraza La Mawaziri, Raychelle Omamo, Betty Maina Na Aden Mohammed, Alifanya Mazungumzo Ya Faragha Na Mfalme Wa Ubelgiji Phillipe.