Wanafunzi Wa U.O.N Kisumu Walalama Kuhusu Ongezeko La Karo

EbruTVKENYA 2021-07-14

Views 2

Shinikizo Linazidi Kutolewa Na Wanafanzi Kufuatia Ongezeko La Karo Katika Chuo Kikuu Cha Nairobi. Wanafunzi Katika Chuo Kikuu Hicho Tawi La Kisumu Wameeleza Kughadhabishwa Na Hatua Ambayo Kulingana Nao Itazidi Kuwakandamiza Na Hata Kuwasukuma Kutoendelea Na Masomo. Wakiongozwa Na Jimmy Magero Wameutaka Uongozi Wa Chuo Hicho Kutilia Maanani Matakwa Ya Wanafunzi Kabla Ya Kuchukua Hatu Ya Kuongeza Karo.

Share This Video


Download

  
Report form