Kinara Wa Odm Raila Odinga Amekanusha Madai Ya Kuiendesha Serikali Ya Jubilee Akishikilia Kuwa Yeye Ni Mshauri Tu Wa Rais Uhuru Kenyatta. Raila Odinga Ambaye Amekuwa Katika Kaunti Ya Mombasa Kwa Wiki Moja Kwa Mkutano Na Rais Kenyatta Amesema Serikali Inapaswa Kuweka Taratibu Kuhakikisha Nchi Imenunua Chanjo Zaidi Na Wananchi Wamepewa Chanjo Ili Uchumi Uimarike. Haya Yanajiri Huku Wabunge Wakitarajiwa Kukongamana Wiki Ijayo Kujadili Mpango Wa Kufufua Uchumi.