Kinara Wa ODM Raila Odinga Amezidisha Rairai Zake Kwa Wakaazi Wa Mlima Kenya Hi Leo Akikutana Na Kundi La Vijana Kutoka Eneo Hilo. Raila Amehoji Kuwa Yeye Ndiye Dawa Ya Ufisadi Nchini Akisema Kwamba Janga Hilo Linafukuza Wawekezaji. Raila Wakati Huo Huo Amezidisha Vijembea Dhidi Ya Naibu Rais Akisema Kuwa Hana Jipya La Kusaidia Taifa.