Kinara Wa ODM Aahidi Bima Ya Afya Kwa Wote

EbruTVKENYA 2022-01-14

Views 220

Kinara Wa ODM Raila Odinga Amepeleka Kampeni Zake Kaunti Ya Tana River Alikopigia Debe Azimio Lake La Umoja. Raila Amekariri Ahadi Yake Ya Bima Ya Afya Kwa Wote Kuanzia Mwisho Mwa Mwaka Huu.

Share This Video


Download

  
Report form