Familia Yaomba Serikali Ihakikishe Haki Ya Mauaji Ya Jamaa Yao Imetendeka

EbruTVKENYA 2021-08-22

Views 23

Familia Kutoka Gatuanyaga Katika Mji Wa Thika Kaunti Kiambu Wamejawa Na Huzuni Kufuatia Kisa Cha Mauaji Ya Kinyama Ya Jamaa Yao Ambaye Mwili Wake Ulipatikana Umetupwa Kando Ya Barabara Kuu Ya Thika/Garissa Wiki Jana. Familia Imeshindwa Kufidia Garama Ya Kufanya Upasuaji Na Ya Kutoa Maiti Yake Katika Chumba Cha Kuhifadhi Maiti Ili Wamzike. Familia Hiyo Sasa Inaomba Wizara Ya Usalama Wa Ndani Na Serikali Iingilie Kati Na Kuhakikisha Haki Imetendeka.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS