Familia Mbili Zilizoathirika Na Mauaji Zafidiwa Na Serikali

EbruTVKENYA 2021-07-26

Views 0

Familia Mbili Zilizoathirika Na Mauaji Ya Kinyama Ambapo Mshukiwa Masten Wanjala Aliwauwa Wana Wao, Wamepokea Fedha Ya Takriban Laki 1 Elfu 50 Kutoka Kwa Serikali Baada Ya Kutoa Lalama Zao Kuwa Hawana Uwezo Wa Kugharamia Mazishi. Mshukiwa Alikamatwa Na Idara Ya Ujasusi Siku Ya Jumatano Ya Mwezi Wa Julai Tarehe 14. Kamishna Wa Kaunti Ya Nairobi Flora Mworoa Amewasihi Wazazi Wawe Makinifu Na Watoto Wao Na Kuonya Kuwa Wahalifu Wanaotenda Maovu Hayo Huwa Watu Wanaohusiana Nao.

Share This Video


Download

  
Report form