Inspekta Generali Hillary Mutyambai Amemuelekeza Mkurugenzi Wa Idara Ya Upelelezi Dci Geroge Kinoti Kuanzisha Uchunguzi Kuhusiana Na Kifo Cha Agnes Wanjiru Mwaka Wa 2012. Inadaiwa Kuwa Marehemu Agnes Aliuawa Na Mwanajeshi Kutoka Uingereza Na Baadaye Mwili Wake Kutupwa Kwenye Pipa La Maji Taka Ambapo Ulipatikana